Category: Matokeo ya kidato cha nne 2015 simiyu

Matokeo ya kidato cha nne 2015 simiyu

Matokeo yanaonyesha kuwa shule za vipaji maalum za Serikali na za seminari zilizokuwa zinafanya vizuri, zimetupwa nje ya Kumi Bora. Dar es Salaam. Ufaulu katika matokeo ya mtihani wa kidato cha nne umeongezeka kwa asilimia 10, chini kidogo ya viwango vya Matokeo Makubwa Sasa BRNlakini shule za Serikali za vipaji maalumu, kongwe na za seminari zimeendelea kuporomoka. Katika matokeo hayo, Shule ya Sekondari ya Kaizirege ya mkoani Kagera, iliyoanzishwa mwakandiyo imekuwa kinara ikiwa ni mwendelezo wa mafanikio baada ya mwaka jana kushika nafasi hiyo lakini kwa upande wa shule zenye watahiniwa chini ya Shule iliyoshika mkia ni Manolo iliyopo Tanga, mkoa ambao umetoa shule tano miongoni mwa shule zilizoshika nafasi 10 za mwisho.

Matokeo hayo ni ya kwanza tangu kuanza kutumika kwa mfumo mpya wa upangaji wa Wastani kwa Kutumia Pointi GPA ambao unaonyesha shule zote 10 za kwanza ni za binafsi.

Dk Msonde alisema wavulana waliofaulu nisawa na asilimia Kwa mujibu wa maelekezo ya BRN, ufaulu wa upande wa sekta ya elimu, ambayo ilipangiwa malengo tisa, ulipaswa uwe asilimia Hata hivyo, pamoja na kuwa chini kidogo asilimia 1. Alisema watahiniwawaliandikishwa kufanya mtihani huo wakiwamo wasichanasawa na asilimia Watahiniwa wa shule walikuwaikilinganishwa na watahiniwawalioandikishwa kufanya mtihani huo mwaka Alisema watahiniwa wa shule, kati ya watahiniwawaliosajiliwa watahiniwasawa na asilimia Watahiniwa 4, sawa na asilimia 1.

Roll for surprise

Kwa upande wa watahiniwa wa kujitegemea, alisema kati ya watahiniwa 52, waliosajiliwa, 47, ambao ni sawa na asilimia Dk Msonde alisema ufaulu wa watahiniwa wa shule katika masomo ya msingi umepanda kati ya asilimia 1. Katika matokeo hayo, ufaulu wa kila somo na asilimia katika mabano ni Kiswahili Dk Msonde alisema baraza limefuta matokeo ya watahiniwa waliobainika kufanya udanganyifu. Kati ya watahiniwa waliobainika kufanya udanganyifu, ni wa kujitegemea na 56 ni watahiniwa wa shule.

Alisema kati ya watahiniwa hao, wanatoka vituo viwili vya Kisesa mkoani Mwanza na Ubago visiwani Zanzibar, huku wengine 56 wakitoka shule mbalimbali. Katika matokeo hayo mwanafunzi bora kwa wasichana ni Nyakaho Marungu Baobabaliyefuatiwa na Fainess Mwakisisimba St. Francis GirlsAngel Mcharo St. Francis Girls na Anastazia Kabelinde Kaizerege.

Mwanzo Habari Kitaifa. Pia Soma. Uchaguzi mkuu ni mtifuano Chadema Wabunge 15 wa kwanza viti maalum walivyopatikana Walichokisema ndugu kuhusu ajali ya Mkuranga iliyosababisha vifo 21 Askofu Shoo asema Askofu Mshemba hakupenda madaraka.Post a Comment. Thursday, February 14, Mkuu wa Shule ya sekondari Biashara, Mwl. Mathias Joseph ambaye shule yake ilifanya vzuri kwa kupata alama A 23 na alama B 79 amesema pamoja na kambi za kitaaluma siri nyingine ya kufanya vizuri ni jitihada zilizofanywa na walimu pamoja na usimamizi mzuri wa mikakati iliyowekwa na idara ya Elimu na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi, ikiwa ni pamoja na kufanya mazoezi na mitihani ya mara kwa mara.

Aidha, Mtaka ameelekeza kamati zote za shule zikutane na wazazi wa wanafunzi wa madarasa ya mtihani ili wakubaliane juu ya wanafunzi hao kuanza kambi za kitaaluma na wazazi hao wachangie chakula ambacho watoto wao wangekula wakiwa majumbani kwao kitumike wakiwa kambini.

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Ernest Hinju, wakati wa hafla ya kuwapongeza walimu waliofanikisha na wanafunzi waliofanya vizuri katika Mtihani wa Kidato cha nne mwaka iliyofanyika kimkoa, katika shule ya sekondari Nkololo wilayani Bariadi Februari 13, Anthony Mtaka wa pili kushoto akiwakabidhi zawadi ya ngao viongozi wa Halmashauri ya mji wa Bariadi ambayo iliongoza kimkoa na kushika nafasi ya tisa kati ya halmashauri zaidi ya nchini katika mtihani wa Taifa wa Kidato cha nne mwakakushoto na wa pili kushoto ni wanafunzi walifanya vizuri Kimkoa kutoka shule za Serikaliwakati wa hafla ya kuwapongeza walimu waliofanikisha na wanafunzi waliofanya vizuri katika mtihani huo iliyofanyika kimkoa katika shule ya sekondari Nkololo wilayani Bariadi Februari 13, Enock Yakobo akizungumza na viongozi, walimu, wazazi na wanafunzi katika hafla ya kuwapongeza walimu waliofanikisha na wanafunzi waliofanya vizuri katika Mtihani wa Kidato cha nne mwaka iliyofanyika kimkoa, katika shule ya sekondari Nkololo wilayani Bariadi Februari 13, Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Mhe.

Festo Kiswaga akizungumza na viongozi, walimu, wazazi na wanafunzi katika hafla ya kuwapongeza walimu waliofanikisha na wanafunzi waliofanya vizuri katika Mtihani wa Kidato cha nne mwaka iliyofanyika kimkoa, katika shule ya sekondari Nkololo wilayani Bariadi Februari 13, Anthony Mtaka wa tano kushoto mbele katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa mkoa na Halmashauri ya Wilaya ya Meatu, walimu wa Halmashauri ya Wilaya ya Meatu, wanafunzi wawili walioongoza katika mtihani wa Taifa wa kidato cha nne mwaka Kimkoa na wazazi wao, baada ya hafla ya kuwapongeza walimu waliofanikisha na wanafunzi waliofanya vizuri katika mtihani huo iliyofanyika kimkoa katika shule ya sekondari Nkololo wilayani Bariadi Februari 13, Mkuu wa Wilaya ya Meatu, Dkt.

Joseph Chilongani akizungumza na viongozi, walimu, wazazi na wanafunzi katika hafla ya kuwapongeza walimu waliofanikisha na wanafunzi waliofanya vizuri katika Mtihani wa Kidato cha nne mwaka iliyofanyika kimkoa, katika shule ya sekondari Nkololo wilayani Bariadi Februari 13, Festo Kiswaga.

Email This BlogThis! Share to Twitter Share to Facebook. Newer Post Older Post Home. Powered by Blogger. Subscribe Via Email Subscribe to our newsletter to get the latest updates to your inbox.Sababu ya tatu anasema ni utayari wa wanafunzi wenyewe wa mkoa ambao wanaonyesha nia ya kusoma na kuleta mapindunzi na mabadiliko kuanzia ngazi za familia zao na mkoa kwa ujumla.

Kutoka nafasi ya 14 kwa miaka miwili mfululizo na katika matokeo ya mtihani wa kidato cha nne, Simiyu unaosifika kwa kuwa na uongozi wenye dira ya maendeleo, umepanda kwa nafasi nne na hivyo kuwa mkoa wa tisa mwaka Ndiyo mara yake ya kwanza kuingia katika orodha ya mikoa kumi bora tangu kuwa na hadhi ya mkoa mwaka Imeingia katika orodha hiyo ambayo imeshuhudia mikoa ya Pwani, Kigoma na Shinyanga ikiendelea kutamba kwa kuwamo katika orodha hiyo kwa miaka mingi.

Mikoa mingine imekuwa ikiingia na kutoka. Mkuu wa mkoa huo, Antony Mtaka anataja sababu tatu kuwa ndizo nguzo za mafanikio hayo, ikiwamo ya uanzishwaji wa kambi maalumu kwa watahiniwa. Anasema kambi hiyo ilikuwa kuwa na lengo la kuwaweka pamoja wanafunzi wanaofanya mtihani wa kitaifa ili kuwafundishakuwapa moyo na kuwajengea uwezo wa kujiamini utakaowasaidia kufaulu.

Mkuu wa mkoa huyo, anafafanua kuwa mazingira ya vijijini ni magumu hasa kwa watoto wa shule ambao baadhi yao wanaishi kwenye nyumba za tembe ambazo ndani yake wanalala na mifugo jambo linalosababisha kukosa muda wa kujisomea kwa ufanisi hasa nyakati za usiku.

Mtaka anasema kambi hiyo inakuwa na walimu bora wanaowafundisha mada ngumu ambazo baadhi ya wanafunzi ya hawakuzielewa kwa ufanisi walipofundishwa katijka shule zao. Mtaka anasema mkoa huo umeweka utaratibu wa baadhi ya watu maalumu wakiwamo wakuu wa wilaya na viongozi kwenda kuwatembelea kwa ajili ya kuwapa moyo wanafunzi hao na kuwaeleza mchakato wa elimu waliopitia hadi hapo walipo. Ofisa Elimu wa mkoa wa Simiyu, Ernest Inju anasema kambi hizo, zimechangia kwa kiasi kikubwa kuimarisha sekta ya elimu na kupandisha ufaulu wa mkoa huo kwa sababu zimeleta mwamko wa watoto kusoma kwa bidii.

Anaitaja sababu ya pili kuwa ni ushirikiano wa karibu kati ya wazazi na uongozi wa mkoa katika suala la kuchangia shughuli za maendeleo ikiwemo sekta ya elimu. Anasema wazazi wa mkoa wamekuwa mstari mbele kutoa ushirikiano katika sekta ya elimu ikiwemo kuhudhuria vikao vya kupanga mikakati ya kuboresha sekta hiyo kwenye mkoa huo.

Mtaka anasema kumekuwa na ushirikiano mkubwa kati yao na wazazi katika kuboreha sekta ya elimu mkoani humo na kwamba hivi sasa kumekuwa na mwitikio mkubwa kwa walezi, wazazi na wadau wanaoichangia kambi hiyo kwa lengo la kuhakikisha wanafunzi wanaishi vizuri.

Mwanzo Habari Kitaifa.

Honorarni posao zenica

Taja kila sababu ikiwamo ya uongozi bora, lakini ukweli ni kuwa Mkoa wa Simiyu unakuja kwa kasi kitaaluma. Pia Soma.

Realtek chip dac

Uchaguzi mkuu ni mtifuano Chadema Wabunge 15 wa kwanza viti maalum walivyopatikana Walichokisema ndugu kuhusu ajali ya Mkuranga iliyosababisha vifo 21 Askofu Shoo asema Askofu Mshemba hakupenda madaraka.Post a Comment.

Akitangaza matokeo hayo, Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Dkt Charles Msonde amesema kuwa jumla watahiniwasawa na Msonde amesema kwa upande wa watahiniwa wa shule, waliofaulu nisawa na asilimia Amesema kwa upande wa watahiniwa wa shule, ufaulu umeshuka kwa asilimia 1. Aidha kwa upande wa watahiniwa wa kujitegemea, Dkt Msonde amesema watahiniwa 31, sawa na asilimia Kwa upade wa ubora wa ufaulu kwa kuangalia madaraja waliyopata watahiniwa wa shule, Msonde amesema waliopata daraja la kwanza ni 9, sawa na asilimia 2.

Aidha waliopata daraja la nne nisawa na asilimia Watahiniwa waliopata ufaulu mzuri wa kati ya daraja la kwanza hadi la tatu ni 94, sawa na asilimia Amesema kwa upande wa ufaulu wa masomo kwa watahiniwa wa shule, ufaulu wa juu kabisa ni wa somo la Kiswahili ambapo asilimia Baraza hilo limezuia matokeo ya watahiniwa kutokana na sababu za kiafya na watahiniwa hao wataruhusiwa kufanya mitihani ambayo hawakuifanya katika mtihani wa kidato cha nne, mwaka Aidha baraza hilo limefuta matokeo ya watahiniwa 87 waliobainika kufanya udanganyifu katika mtihani ambapo kati yao 25 ni wa kujitengemea na 52 ni watahiniwa wa shule wakati 10 ni wa mtihani wa maarifa QT Amezitaja shule 10 zenye watahiniwa zaidi ya 40 zilizofanya vizuri zaid kuwa ni Kaizerege ya mkoani Kagera, Alliance Girls ya Mwanza, St.

Kwa upande wa watahiniwa, Dkt Msonde amesema kati ya watahiniwa 10 waliofanya vizuri zaidi, wanne na wasichana na sita ni wavulana. Matokeo hayo yamepangwa katika mfumo wa madaraja Division badala ya ule wa wasatani wa alama GPA kama ambavyo iliagizwa na Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi hivi karibuni. No comments:.

Etv auditions 2019

Newer Post Older Post Home. Subscribe to: Post Comments Atom.WENGI wanasema ni maajabu, ingawa kwa wenyeweji wanasema hilo ndilo lilikuwa lengo lao na wamelitimiza, Mkoa wa Simiyu kushika nafasi ya tano kitaifa katika matokeo ya kidato cha nne Licha ya kutumiza lengo hilo, shauku kubwa ya viongozi wa mkoa huo ni kuona siku moja unatajwa katika nafasi tatu za juu, lengo ambalo wamejiwekea kwa mwaka huu.

MATOKEO YA KIDATO CHA SITA MWAKA 2015 (ACSEE 2015 RESULTS)

Ni kama maajabu kweli, kwani kwa miaka miwili mfululizo, na mkoa umekuwa miongoni mwa mikoa 10 bora katika matokeo ya kidato cha nne na kidato cha sita. Maajabu mengine Simiyu ni kuingia kwenye 10 bora matokeo ya darasa la saba, kidato cha nne na cha sita mwakahuku ukiwa ni miongoni mwa mikoa ambayo ufaulu wake unaongezeka kwa kasi kila mwaka.

Licha ya kuwa na changamoto kibao, ikiwamo ukosefu wa walimu wa kutosha wa masomo ya sayansi, vyumba vya madarasa, nyumba za walimu, umbali wa shule na makazi bado umeendelea kuonyesha maajabu hayo. Maajabu mengine ni kwamba mkoa huo umeendelea kufanya vizuri kwa miaka ya hivi karibuni kuanzia mwakaukiwa na shule nyingi za serikali shule za kata na shule chache binafsi tofauti na mikoa mingine.

Mkoa wa Simiyu, huwezi kuulinganisha na Mkoa wa Dar es Salaam, Mbeya, Mwanza, Kilimanjaro na Arusha kwa wingi wa shule zinazomilikiwa na watu binafsi, ambazo zimekuwa zikifaulisha kwa kiwango kikubwa. Takwimu za mkoa huo zinaonyesha kuwa kuna jumla ya shule za msingi za serikali huku binafsi zikiwa 10, na shule za sekondari za serikali shule za kata huku binafsi private zikiwa Haya nayo yanatajwa kama maajabu mengine kwa mkoa huo, kwani unazo shule chache binafsi tena ambazo hazifanyi vizuri kama ilivyo kwa shule zilizoko mkoani Dar es Salaam au Mbeya, lakini umefanya vizuri zaidi ya mikoa hiyo.

Kwa mwakamatokeo ya kidato cha nne, Mkoa wa Simiyu umeshika nafasi ya tano kati ya mikoa 31, ukitanguliwa na Mkoa wa Kilimanjaro, Arusha, Iringa na Njombe. Katika matokeo hayo, mkoa huo umepanda nafasi nne juu, kutoka nafasi ya tisa mwakaambapo imefaulisha kwa asilimia Kasi hiyo kwenye sekta ya elimu inatajwa kuwa kubwa ndani ya miaka miwili, huku ikiwa tishio kwa mikoa mikongwe na ambayo hufanya vizuri kama Kagera, Mwanza, Mbeya, Dar es Salaam, Morogoro, Kilimanjaro na Arusha.

Kwa muda mrefu kabla na baada ya kuundwa kwa mkoa huo mwakaulikuwa miongoni mwa mikoa inayoshika nafasi za mwisho shule za msingi na sekondari. Takwimu zinaonyesha kuwa mwaka mkoa ulishika nafasi ya 24 kati ya mikoa 25 matokeo ya darasa la saba, ulishika nafasi ya 22 kati ya mikoa 25, nafasi ya 16 kati ya Mwaka nafsi ya 14 kati ya 26, nafasi ya 16; mwaka nafasi ya 22 kati ya 26 na nafasi ya 8 kati ya mikoa Kidato cha nne mwaka mkoa huo ulishika nafasi ya 17 kati ya mikoa 30; nafasi ya 14 kati ya mikoa 30; mwaka nafasi ya 14 kati ya 31; mwaka nafasi 11; mwaka nafasi ya tisa na nafasi ya tano kati ya mikoa Kidato cha sita mwaka ulishika nafasi ya 26 kati ya mikoa 29, mwaka nafasi ya 10 na mwaka mkoa nafasi ya 10 kati ya mikoa Mafanikio makubwa yalianza kuonekana mwakabaada ya wadau mbalimbali chini ya mkuu wa mkoa kutafuta njia ya kuundoa katika nafasi za mwisho ambazo ulikuwa ukishika kila mwaka.

matokeo ya kidato cha nne 2015 simiyu

Moja ya sababu kubwa inayotajwa na kila mtu, ambayo imefanya mkoa huo kufanya maajabu kwa miaka miwili mfulululizo ni kuanzishwa kwa kambi za kitaaluma zilizoanza rasmi Julai Siyo tu kufanya vizuri kwa miaka hiyo, bali kambi hizo zinatajwa na kila mtu wakiwamo wanafunzi, viongozi wa serikali na kisiasa, wadau wa elimu kwamba zimeufanya mkoa huo kuongeza ufaulu kwa kasi.

Wazo la kuanzishwa kwa kambi hizo lililetwa na Mkuu wa Mkoa, Antony Mtaka mwasisi wa kambi za kitaaluma Simiyuambapo mwanzoni mwa utekelezaji wake haikuweza kupokelewa kwa asilimia zote na wadau. Kambi hizo zilianza kutumika kwa wanafunzi wa kidato cha sita pekee, kutokana na uchache wao mkoa wa mzima, ingawa zilianza na changamoto nyingi ikiwamo kukosekana kwa mahitaji muhimu hasa kwa wasichana.

Hata hivyo, kwa kipindi hicho ambapo wanafunzi hao walikaa kambi kwa muda wa wiki mbili, bado zilionekana hazina umuhimu na hazijazaa matunda kutokana na mkoa huo kushika nafasi ya 29 kati ya mikoa 31 matokeo ya kidato cha sita mwaka Mwaka kambi hizo zilifanyika tena, kutoka wiki mbili hadi siku 30 kwa wanafunzi hao wa kidato cha sita, hapo ndipo mafanikio yakaanza kuonekana kwani mkoa ulishika nafasi ya 10 kwa mara kwanza.

MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2008 FORM FOUR (CSEE) EXAM RESULTS NECTA 2008

Mafanikio hayo yalianza kubadilisha mawazo ya baadhi ya watu waliokuwa wakipinga kambi hizo na mwaka wanafunzi wa kidato cha nne nao walianza kambi siku Kambi hizo zilianza kuzaa matunda, ambapo mkoa uliingia 10 bora kwa mitihani yote miwili kidato cha sita na kidato cha nne na kuonekana kuwa ajenda kuu kwa kila mdau wa elimu.

Wanafunzi wamekuwa wakimpongeza mkuu wa mkoa kwa kubuni njia ya kambi, kwani zimeleta mageuzi makubwa kwao na zimesaidia zaidi kwenye vipindi vya sayansi.

Wanafunzi hao wanasema kuwa kwenye shule zao kumekuwa na tatizo kubwa la walimu wa Sayansi jambo ambalo hupata msaada mkubwa kwenye kambi hizo kutokana na kuwapo kwa walimu wengi na mahili. Yohana anasema bila ya kambi za kitaaluma, asingefanya vizuri kwa kiwango hicho, kwani alikuwa na tatizo kwenye masomo ya Sayansi upande wa mafunzo kwa vitendo practical. Naye Zawadi Joseph ni mmoja wa wanafunzi ambaye kwenye mtihani wa utimilifu Mock alipata daraja sifuri, anasema baada ya kuja kwenye kambi aliona mabadiliko makubwa kwake kwenye masomo.

matokeo ya kidato cha nne 2015 simiyu

Nao walimu wanasema kuwa mkuu wa mkoa ni mtu wa pekee kwani hakuna mwingine ambaye aliyefikiria kuhusu kuanzisha kambi za kitaaluma ikiwa ndio njia pekee ya kuinua elimu mkoani Simiyu. Wanasema kambi hizo zimerudisha matumaini kwa baadhi ya wanafunzi waliokuwa tayari wamekata tamaa na masomo kutokana na mazingira ya shuleni kwao.

Kwa upande wake Mwalimu Omari Ngusa anasema kambi hizo zilisaidia hata wanafunzi ambao walikuwa hawajawahi kutembea na kubadilisha mazingira, ambapo kwao ilikuwa faraja kubwa.

Baadhi ya wananchi wanasema mwanzoni ilikuwa ngumu kuelewa lengo la kambi hizo ndiyo maana wapo waliogoma kuchangia chakula, huku wengine wakihofia watoto wao kupata mimba. Mgema Buyugu ni mmoja wa wananchi hao kutoka kijiji cha Chinamili Wilaya ya Itilima, anasema baada ya kuona mafaniko ya kambi hizo, kwa sasa wananchi wamejitoa kuchangia.

Naye Ndabagija Katani, anasema kutokana na umuhimu wa kambi hizo, wazazi wengi wanaomba kuongezwa muda na kwamba wapo tayari kuchangia ili watoto wao waweze kufaulu vema. Ofisa Elimu Mkoa huo, Erenest Hinju, anasema tangu kuanzishwa kwa kambi hizo kumekuwapo na mabadiliko ya uendeshaji wake, lengo likiwa ni kuleta tija zaidi kwa wanafunzi wenyewe na mkoa.

Anasema kambi ambazo zilifanyika mwaka zilikuwa tofauti na zile zilizofanyika mwaka na mwakandiyo maana mkoa ulishika nafasi ya tano kitaifa. Hinju anasema kuwa maboresho hayo yameleta tija zaidi kwa mkoa na kufanikisha kushika nafasi ya tano kitaifa, huku akieleza kuwa wataendelea kufanya maboresho ya kambi hizo ili kuleta tija zaidi.Tanzanian blog operating sincecovering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide.

Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers. Kuwa mstaarabu Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Mtaka ameyasema hayo Agosti 22, katika kikao cha tathmini ya matokeo ya mtihani wa Mock kwa wanafunzi wa kidato cha nne na matokeo ya mtihani wa Taifa wa kidato cha sita mwakaambapo mkoa wa Simiyu umekuwa miongoni mwa mikoa kumi bora Kitaifa. Mtaka amesema lengo la Mkoa ni kuona wanafunzi wote waanafanya vizuri na hakuna mwanafunzi wa kidato cha nne anapata daraja sifuri hivyo wanafunzi wote wenye daraja sifuri na wale walipata daraja la nne alama za mwisho watawekwa pamoja na kutafutiwa walimu mahiri ili wawasaidie kupanda kitaaluma na kupata ufaulu mzuri.

Katika hatua nyingine Mtaka amewahimiza wakuu wa shule kusimamia kwa karibu ufundishaji na kuhakikisha katika kipindi hiki kuelekea katika mitihani wa Taifa wa Kidato cha nne, kuongeza ufaulu kutoka nafasi ya tisa ya mwaka kwenda kwenye nafasi nzuri zaidi. Afisa elimu wa mkoa wa Simiyu, Mwl. Ernest Hinju amewataka wakuu wa shule na maafisa elimu kata na wilaya kuendelea kusimamia ufundishaji ili wanafunzi waweze kufanya vizuri na wale ambao shule zao hazikufanya vizuri waimarishe usimamizi ili kuongeza ufaulu.

Kwa upande wake Mkuu wa Shule ya Sekondari Itilima amezungumzia kambi maalum za kitaaluma kwa wanafunzi wa kidato cha nne waliopata sifuri kwenye mtihani wa Mock ambao wapo takribani kati ya wanafunzi zaidi yakwamba zitakuwa msaada kwao na wanatarajia kuzifanya kwa ufanisi ili mkoa uwe kati ya mikoa tisa bora Kitaifa mwaka Single digit. Mkuu wa mkoa ameahidi kutoa shilingi elfu 30 kwa mwalimu katika kila alama A itakayopatikana kwenye somo lake, shilingi milioni tano kwa shule itakayoingia kumi bora kitaifa, Milioni tano kwa Halmashauri itakayoingia kumi bora kitaifa, na milioni mbili kwa mwanafunzi atakayepata ufaulu daraja la kwanza pointi saba na kuwa katika kumi bora kitaifa na ikiwa hatakuwa miongoni mwa wanafunzi bora kitaifa atapewa shilingi milioni moja.

matokeo ya kidato cha nne 2015 simiyu

Mkutano wa tathimini ya matokeo ya kidato cha sita mkoani Simiyu unawakutanisha wakuu wa shule za sekondari,maafisa elimu wilaya ,wakurugenzi watendaji, wenyeviti wa halmashauri za wilaya na wenyeviti wa Kamati za Elimu za Halmashauri lengo likiwa ni kuangalia walipo na wanapoelekea katika maendeleo ya elimu mkoani Simiyu. Mshirikishe mwenzako:. Michuzi Blog Tanzanian blog operating sincecovering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide.

Subscribe to: Post Comments Atom.Chief Editor Mhariri. Post a Comment. Mwanzo Mwasiliano. Post Top Ad. Friday, January 22, Bofya Hapa Kuyaona. Baraza la Mitihani la Tanzania NECTAlimetangaza matokeo ya mitihani ya kujipima ya darasa la nne huku matokeo hayo yakionyesha wanafunzi wengi wamefeli katika somo la Kiingereza kwa asilimia Charles Msonde amesema juhudi za makusudi zinahitajika katika kuboresha mazingira ya ufundishaji na ujifunzia ili kuboresha kiwango cha ufaulu.

Jumla ya wanafunzikati ya wanafunzisawa na asilimia Wanafunzisawa na asilimia Aidha wanafunzi wamefanya vizuri zaidi katika somo la Sayansi kwa asilimia No comments:.

Newer Post Older Post Home. Subscribe to: Post Comments Atom. Post Bottom Ad. Powered by Blogger. Alex Gashaza kijijini Kazin Matokeo ya Kidato Cha Nne Bofya Hapa Kuyatazama. Baraza la Mitihani la Taifa Necta limetangaza matokeo ya kidato nne ambapo ufaulu umeongezeka kwa asilimia saba. Jumla ya watahin Tazama matokeo ya Darasa la Saba ……. Mwanzo Mawasiliano instagram. Crafted with by TemplatesYard.

Delevoped by Moffat J. Inner:case Owl. Outer:return this. Zepto window.


thoughts on “Matokeo ya kidato cha nne 2015 simiyu

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *